Description
1997 - 2003
Zimbabwe, Harare
High Commissioner
Balozi Alexander A. Muganda, Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) Nov, 2014
- Mwanasheria wa Serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu (1971 - 1976);
- Mkurugenzi Msaidizi wa Kikosi cha Kupambana na Rushwa (1976 - 1979);
- Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa (1980 - 1997);
- Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe na Rwanda (1997 - 2003).