Description
2014 - 2017
Sweden, Stockholm
Ambassador
H.E. Dora Mmari Msechu Ambassador of the United Republic of Tanzania in Stockholm, Sweden who is also accredited to Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Ukraine and Lithuania. In Office 2014 - 2017
Balozi Dora Mmari Msechu, ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Stockholm, Sweden. Hadi uteuzi huu unafanyika Balozi Dora Mmari Msechu ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.