Description
United Nations, Geneva
Permanent Representative
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). July 2013, July 2019
Balozi Lumbanga ni mchumi kitaaluma,ana Shahada ya kwanza ya Uchumi ambayo ameipata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Pia ana Shahada ya Uzamili pamoja na Shahada ya Uzamivu katika masuala ya Mahusiano ya Kimataifa taaluma aliyoipata shule ya 'Geneva School of Dipmacy and International Relations', Switzerland.
Balozi Lumbanga ameitumikia Serikali ya Tanzania katika nyazifa mbalimbali tangu mwaka 1972, mwaka 1995 aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi nafasi alioishika hadi mwaka 2006 alipoteuliwa kuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika ofisi za Umoja wa Mataifa (UN) nchini Geneva. Amestaafu utumishi wa umma Julai mwaka jana (2012).
Balozi Lumbanga amekuwa Mwenyekiti wa tatu wa bodi ya PPRA tangu ilipoanzishwa mwaka 2005 ambapo Mwenyekiti wa kwanza alikuwa Bw. Philemon Luhajo na kufuatiwa na Dkt. Bukuku.
------------------------------------------------------------------------
The Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations (Vienna), Matern Yakobo Christian Lumbanga, presented his credentials today to Antonio Maria Costa, Director-General, United Nations Office at Vienna (UNOV). March 9, 2007.
Prior to his current appointment, Mr. Lumbanga was serving as Chief Secretary, President's Office, Government of the United Republic of Tanzania (1995 - 2006).
Mr. Lumbanga has served in many capacities in the course of his career, including as: Permanent Secretary, Ministry of Lands, Housing and Urban Development (1992 - 95), Permanent Secretary, Ministry of Industry and Trade (1991 - 92), Permanent Secretary, Ministry of Home Affairs (1990 - 91), as well as Permanent Secretary, Ministry of Lands, Natural Resources and Tourism (1989 - 90).
Mr. Lumbanga holds a degree in Economics, Management and Administration from the University College of Dar es Salaam. He is married and has five children.