Description
2011 - 2015
Brazil, Brasilia
Ambassador
H.E. Dr. Francis Ambakisye Malambugi Ambassador of the United Republic of Tanzania in Brasilia, Brazil who is also accredited to Venezuela, Argentina, Jamaica, Trinidad and Tobago, Barbados, Guyana, Chile and Peru. 2010 - 2015
Balozi Francis Ambakisye Malambugi ambaye kwa taaluma ni Mwanasheria na Mwanadiplomasia alijiunga na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa tarehe 1/1/1978 kama Wakili wa Serikali na amewahi kufanyakazi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Angola, Ofisi ya Umoja wa Mataifa iliyoko Geneva, Ujerumani, Ethiopia na Ubelgiji.