The United Republic of Tanzania
Embassies and Diplomatic Missions
  • Diplomatic Missions
  • Ambassadors
  • Home
  • Ambassador List
  • Amb. Thumbs
  • Amb. Grid
  • Current
  • Previous
  • Ambassadors
  • Current Diplomat
  • Macocha Moshe Tembele

Macocha Moshe Tembele

Macocha Moshe Tembele Macocha Moshe Tembele

H.E. Ambassador Macocha Moshe Tembele

Description

2022 To Date

Indonesia, Jakarta

Ambassador


Macocha Tembele (amezaliwa katika jiji la Dar es Salaam, 21 Machi 1974) ni balozi na mkurugenzi wa umoja na ushirikiano wa Afrika Mashariki. 

Elimu na uzoefu

Macocha alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mnamo mwaka 1998, akisomea masuala ya uchumi na kupata stashahada (B.A). Mnamo mwaka 2011 alijiunga na chuo cha London metropolitan university ndani ya Ufalme wa Muungano na huko alihitimu na kupata shahada ya daraja la kwanza katika masuala ya uhusiano wa kimataifa, na mwaka 2013 alijiunga na chuo Tanzania/Msumbiji kituo cha mafunzo kwa ajiri ya mambo ya kigeni na kupata shahada ya utumishi wa masula ya kigeni na mwaka 2019 alisoma chuo cha Fideral institute of technoloy jijini Zürich nchini Uswisi.

© Copyright 2025 - Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation

  • Home
  • Diplomatic Missions
  • Ambassadors
  • Ministry Website