Description
1983 - 1988
Japan, Tokyo
Ambassador
1972 - 1976
Italy, Rome
Ambassador
1968 - 1972
USSR, Moscow
Ambassador
H.E. Raphael Lukindo Ambassador of the United Republic of Tanzania in Moscow, USSR 1968 - 1972
Raphael Lukindo ameshika nyadhfa mbalimbali ikiwa Bwana Shauri (District Officer) kati ya mwaka 1961 hadi 1962, Afisa katika Balozi zetu za Uingereza na Ujerumani, Balozi akiiwakilisha nchi yetu katika nchi za uliokuwa Muungano wa nchi za Kisovieti za Urusi (USSR) (1968 - 1972), Uingereza, Italia na hatimaye Balozi wa Tanzania nchini Japan kuanzia mwaka 1983 hadi 1988 kabla ya kustaafu.